matangazo

matangazo

Thursday, May 1, 2008

SILAHA


Hapa nikiwa na moja ya silaha ya kale kabisa iliyokuwa ikitumiwa na wakoloni wa Kijerumani silaha hii na nyingine nyingi zinapatikana Bagamoyo ewe mzalendo mwenzangu ukipata muda nenda kajionee mwenyewe na upate historia ya Tanzania

2 comments:

Anonymous said...

Ukiwa mwanafunzi wa chuo kikuu tena unasomea uandishi wa habari una haribu kiswahili sio "siraha"ni silaha tafadhali usiharibu ligha ya kiswahili

Anonymous said...

Ukiwa mwanafunzi wa chuo kikuu tena unasomea uandishi wa habari una haribu kiswahili sio "siraha"ni silaha tafadhali usiharibu lugha ya kiswahili