Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika siku kampeni ya ugonjwa wa malaria ambayo iliandaliwa na kitivo cha habari chuo Tumaini katika stendi kuu mjini Iringa ambapo watu kadhaa walipima ugonjwa wa malaria na kupewa dawa bure.Huu ni mfano wa kuigwa na baadhi ya vyuo na ofisi mbalimbali za serikali na watu binafsi ili tuweze kutokomeza ugonjwa huu.
No comments:
Post a Comment