Mzalendo Girbet Kiwone mwanafunzi wa Tourism mwaka wa pili Kanitumia picha hizi za wanafunzi wa TOURISM chuo cha Tumaini Iringa wakiwa katika ziara sehemu mbalimbali za makumbusho hapa Tanzania. Asante mzalendo Girbet naamini mtakuwa wataalamu muda si mrefu na kuitangaza Tanzania kimataifa
No comments:
Post a Comment