matangazo

matangazo

Wednesday, December 29, 2010

Wanahabari

Wanahabari wakiwa katika picha ya pamoja.Kutoka kushoto ni Geofrey Sima, katikati ni Tulizo Kilaga (afisa habari wizara ya maliasili na utalii) na mzalendo Lukelo Mshaura (afisa uhusiano Halmashauri ya Wilaya Njombe) wote hawa wamesoma chuo kikuu kishiriki cha Tumaini Iringa. Hapa tukiwa Mbeya kushiriki kikao kazi cha maafisa habari, elimu na mawasiliano wa Idara, Taasisi na Wakala wa serikali.Kikao hicho kilifanyika kuanzia tarehe 17 hadi 22 jijini Mbeya.

1 comment:

Anonymous said...

Da!!!!!! Hongereni sana mtu wangu kwel kazi inakwenda, Chapa kazi kijana!!!!