matangazo

matangazo

Wednesday, November 7, 2007

MKOPO

baadhi ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini Iringa waliopata division 2 wakiwa nje ya ofisi ya waziri wa mikopo wakiulizia hatima yao ya mikopo kama wanapata au vipi leo

1 comment:

KC said...

HATARIII,,MWANAUMEE….ENDELEEEA!!!
Jamani Watanzania,tufikie mahari tuwe na ubinadamu na Watz wengine,hivi kwel bodi ya mkopo mmefikia hata kuwa na ubaguzi katika utoaji wa mikopo,sasa sikia hii!,karibu wanafunzi wote wa vyuo vikuu nchini ambao hawakupata mikopo mwaka wa masomo ulopita,na walokuwa na dvsn 2 kwa wavulana na 3 kwa wasichana hivi sasa wamepewa pesa,lakini chuo hiki hapa tumaini,iringa college mpaka sasa hatujui hatma yetu!,je mmetudharau sababu hatuandamani?,sababu viongozi wetu wanafuatilia hili suala lakini pasipo mafanikio.
Turudi ktk suala la 40%,jamani,naombeni atakae soma hii atusaidie kidogo,check facts below:
Tumaini university Iringa college pengine ndo chuo gharama hapa nchini,asilimia 40 ni sawa na Tsh 700000/=,laki saba,kiasi ambacho ni sawa na 100% ya wanafunzi wa mlimani,and some of the students had chanses to study at mliman but government directed them at Tumaini because of their reasons,now i want to ask on the spot,what kind of a proffessional is going to be produced if he always not studying in peace thinking about securing the 40% for completion of fees,Hebu oneni hili na fikilieni!,Sio siri students are starving here because the only amount that were given for meals and accommodation + stationaries are now directed to the 40% and.... i dont knw,hatukuli,tutafanya nini.
ANYWAYZ GUYZ I WAS KIDDIND IN MY SPEECH,AM IN TANZANIA,AND THIS ONLY HAPPENS IN TZ,,,,,