matangazo

matangazo

Friday, December 28, 2007

MJERUHI

Bongo wangesema ni mwaka wa shetani kwa klabu ya Chelsea kwani Frank Lampard ni mchezaji mwingine anajiunga katika kundi la majeruhi hivyo kufanya majeruhi kuwa ni John Terry, Didier Drogba na Claude Makelele.Lampard aliumia katika mechi dhidi ya Astoni Villa ambayo ilimalizika kwa droo ya magoli manne kwa manne.inakadiliwa atakuwa nje kwa muda wa mwezi mmoja

No comments: