matangazo

matangazo

Friday, December 21, 2007

NUKUU YA LEO

Mpango wa utafiti na elimu ya Demokrasia (Radet) wa chuo kikuu cha Dar es Saalam ulitoa ripoti yake hivi karibuni na kuonyesha kwamba umaarufu wa serikali ya Rais Kikwete na Kikwete mwenyewe umeanza kupungua .Rais katika kulizungumzia hilo amesema

“Tafiti za namna hii zinatumika sana duniani .kitu muhimu katika ripoti ni nini maoni ya watu juu ya utendaji wa serikali kuhusu mambo mbalimbali .Repoti ambayo serikali inaiona kama kioo cha kujitazamia ili kujua eneo lililovimba ni lipi na kama nywele zimezidi kumtafuta kinyozi

No comments: