matangazo

matangazo

Thursday, January 3, 2008

KIVUMBI

Hali ilivyo nchini kenya hivi sasa kila mtu na roho mkononi jumuhia za kimataifa zipo wapi kukemea maovu haya nasi waafrica tuwaombee wenzetu ili amani irudi kama zamani matatizo ya kenya ni yakwetu wote

No comments: