matangazo

matangazo

Tuesday, June 3, 2008

UKUMBUSHO


Kushoto Lukelo Mshaura mwanafunzi mwaka wa pili kitivo cha habari,katikati mhadhiri wa chuo cha Tumaini Iringa Aloyce M, anayefuatia ni Haji Madawili (mwanafunzi) pamoja na Mr S.Berege mhadhiri Kitivo cha habari Chuo cha Tumaini tukiwa katika moja ya ziara katika vyombo mbalimbali vya habari jijini Dar es Saalam hapa ni Chanel Ten

1 comment:

Anonymous said...

Ndg.Inaelekea "R" na "L"zinakupa shida ni MHADHIRI sio MHADHILI!!!