Kanisa hili lilijengwa na wajerumani katika harakati zao za kueneza neno la mungu Tanganyika(Tanzania)pia lina umri mkubwa sana na bado ni imara
1 comment:
Anonymous
said...
Ndugu Lukelo, kwanza ya yote nikushukuru kwa jinsi unavyoandika habari motomoto na kuonyesha picha nzuri zinazovutia kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania. Hasa nimefurahia picha za Lupembe, mimi mwenyewe nimeishi hapo karibu miaka 8 pamoja na familia yangu. La kusikitisha kidogo ni kuona kwamba mnara wa simu umejengwa karibu na kanisa - wengine wangesema ndiyo maendeleo. Nitaendelea kufuata matangazo yako kwa picha na maandishi. Mimi naitwa Rune Persson niko Sweden, maeneo ya kaskazini.
1 comment:
Ndugu Lukelo, kwanza ya yote nikushukuru kwa jinsi unavyoandika habari motomoto na kuonyesha picha nzuri zinazovutia kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania. Hasa nimefurahia picha za Lupembe, mimi mwenyewe nimeishi hapo karibu miaka 8 pamoja na familia yangu. La kusikitisha kidogo ni kuona kwamba mnara wa simu umejengwa karibu na kanisa - wengine wangesema ndiyo maendeleo. Nitaendelea kufuata matangazo yako kwa picha na maandishi.
Mimi naitwa Rune Persson niko Sweden, maeneo ya kaskazini.
Post a Comment