matangazo

matangazo

Friday, November 2, 2007

ANAKOSA GANI MTOTO KAMA HUYU HADI ATUPWE

Mtoto aliyetupwa na mama yake hivi karibuni mkoani Iringa alikuwa na kilo mbili na anaendelea vizuri Mungu amsaidie akue vizuri(toa maoni juu ya habari hii je hii ni harali)

No comments: