matangazo

matangazo

Saturday, November 3, 2007

mambo ya mechi acha tu

Baadhi ya Wanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini ambao ni mashabiki wa timu za Arsenal na Mancherster United wakifuatilia kwa umakini pambano baina ya timu hizo chuo kikuu cha Tumaini siku ya Jumamosi

No comments: