matangazo

matangazo

Wednesday, January 9, 2008

BIASHARA


Wanafunzi wengi wa chuo cha Tumaini huwa wanajipatia mahindi mabichi kwa mzalendo huyu ambaye ni maarufu kwa jina la Mr mahindi nje ya geti la kuingilia chuoni mhindi mmoja unauzwa sh 300

No comments: