matangazo

matangazo

Wednesday, January 9, 2008

MKAA

Mzalendo huyu akiwa anatembeza mkaa ambao gunia moja hivi sasa linauzwa kuanzia shilingi 8500.je Tanesco wataweza kutupunguzia bei ya umeme ili tuweze kumudu maisha.

No comments: