matangazo

matangazo

Friday, January 4, 2008

MWANADIPLOMASIA


Askofu mkuu wa kanisa la Aglikana la Afrika kusini Dismund Tutu akiwa na Rais Mwai kibaki.Askofu huyo yupo nchini Kenya kujaribu kuweka mambo vizuri kama ilivyokuwa mwanzo

1 comment:

lukelo said...

Naamini kabisa askofu ataweza kurudisha aamni ambayo wakenya wameanza kuichezea tuwaombee kwa mungu hali iwe salama kama zamani amina