Baadhi ya wachezaji waliochaguliwa 'Tanzania Soccer Academy' kuanza muhula wa masomo na kucheza soka.Kazi hiyo inayoratibiwa na Kili Wood Investment ya Uingereza, itakuwa ikisimamishwa na Idd Kipingu ambaye ndiye mkuu wa shule hiyo itakayokuwa mjini Bagamoyo ni wafuatao Makame Mbwana, Awadh Issa na Saleh Ally (Zanzibar), Comini Aboubakari (Tabora), Hassan Ramadhan, Ayoub Saleh, Soud Jabir na Ramadhani Issa kutoka Morogoro.
Wengine ni Issa Rashid Issa (TAYSA), Adam Zegeza, Mohamed Ndonga (Temeke), Khamis Mroki na Zakayo Marese (Arusha), Thomas Thomas (Dodoma), Leonard Mayenga (Iringa) na Baraka Adam, Omega Sunday na Hamphrey Bwire wanaotoka Mbeya.
Kutoka Ilala ni Andrew Paul wakati Jamal Kambi, Michael Mdimwa na Abeid Warioba wanatoka Dar es Salaam.
Pia yumo Richard Yacob (Shinyanga), Amani Peter (Kilimanjaro) (source mwananchi)

No comments:
Post a Comment