
Baadhi ya wanafunzi wa chuo cha Tumaini wakiwa katika hatua za mwisho kujikumbushia masomo kwani mitihani ya kumaliza muhula wa kwanza inaanza hivi karibuni.Pia sasa kuna pilika za uchaguzi wa Rais na wabunge hapa chuo hivyo ni mshikemshike kama kenya mana kampeni zimepamba moto
No comments:
Post a Comment